Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT ni taasisi ya ki-ekumene ya umoja wa madhehebu 13. CCT ilianzishwa Januari 1934 ikiwa na maono ya kujenga umoja kati ya makanisa wanachama katika mambo mbalimbali kama vile elimu, afya, mahusiano ya kiimani, maendeleo ya wanawake, amani na haki. Katika vyuo vikuu Waumini wa makanisa mbalimbali ya Kiprotestanti huabudu pamoja katika Kanisa la Umoja, Kanisa hili hutambulika kama Chaplaincy inayoongozwa na Mchungaji yaani. Chaplain
Ibada Zetu