Reverand James Lubandanja

Reverand James Lubadanja

Karibu CCT UDSM

Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa (Mithali 1:7). Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha Mathayo 11:28.

Licha ya ukweli kwamba sasa upo mbali na Wazazi na Walezi, CCT Chaplaincy ndio Wazazi na Walezi wako uwapo hapa chuoni kwa kipindi chote cha masomo yako.

Katika kumshukuru Mungu kwa mafanikio na baraka au upatapo majaribu na kukutwa na magumu, Mchungaji yupo kwa ajili yako kukuombea na kukupa ushauri nasaha.

KARIBU SANA.

Huduma Zetu

Baadhi ya vitu tunavyofanya

Ibada

Kuna Ibada mbalimbali. Soma Hapa zaidi

Fellowship

Fellowship Ipo siku ya Jumapili Saa 10:00 Jioni

Bible Study

Bible Study ipo siku ya Alhamisi Saa 12:30 Jioni

Kwaya

Zipo Kwaya mbalimbali kama Hossana, Kwaya Kuu, USCF Mlimani, Mabibo, Sayuni na Zinahudumu katika ibada zetu